Maktaba ya Mwezi: December 2025
“WAZEE NA WAZAZI WAACHE URITHI WA UZALENDO KWA VIJANA” – MHE, RAIS, DKT. SAMIA
NEMC kupitia wanamichezo wake wanaoshiriki mashindano ya SHIMMUTA 2025 mkoani Morogoro na kauli mbiu “π΄ππππππ ππ π¨πππ, π΄ππππππππ ππ πΌπππ” wameshiriki zoezi la kufanya usafi uwanja wa Jamhuri Morogoro siku ya kufunga mashindano hayo Disemba 6, 2025.
RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA TUME HURU YA UCHUNGUZI WA MATUKIO YA UCHAGUZI MKUU, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025. Uzinduzi huu umefanyika Ikulu Chamwino, Dodoma, tarehe 20 Novemba 2025.
Soma zaidi »NEMC yakutana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi kwenye kikao kazi cha kwanza na watendaji wake tangu kuteuliwa kwake chenye lengo la kupitishana kwenye majukumu ya utekelezaji wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi yake.
NEMC kupitia timu yake ya wanamichezo wanaoshiriki mashindano ya SHIMMUTA 2025 wametembelea Kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu cha Erick Memorial mkoani Morogoro Disemba 4, 2025.
NEMC kwa kushirikiana na Taasisi ya Centre of Science and Environment (CSE) ya India imefanya mafunzo juu ya mbinu za kutengeneza Orodha ya Taka za Viwandani, lengo ni kutengeneza orodha ya viwanda vyote nchini na taka zinazozalishwa viwandani ili kuboresha usimamizi wa taka.
π΄ LIVE: SHEREHE YA 73 YA KUWAKUBALI NA KUWAPOKEA MAWAKILI WAPYA
HUYO MTU ANAITWAJE …. ?
#SisiniTanzania #nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu #tanzania #SSH #kazinaututunasongambele #matokeochanya #katibanasheria #mslac @samia_suluhu_hassan βͺ@mawasilianoikulu8747β¬
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+