Maktaba ya Kila Siku: July 30, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa bandari Kavu ya Kwalakesho tarehe 31 Julai 2025

Matukio katika picha: Maandalizi ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na uanzishaji wa huduma ya usafiri ya treni ya mizigo ya reli ya kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam na Dodoma, sambamba na upokeaji wa mabehewa mapya na yaliyokarabatiwa ya reli ya zamani(MGR)Kwala, mkoani Pwani.

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea

Tayari kwa safari ya kueleke kwenye uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, tarehe 30 Julai, 2025.

Soma zaidi »