Maktaba ya Kila Siku: July 13, 2025

MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA IBADA YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU MTEULE DKT. DANIEL MONO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya kumweka wakfu na kumuingiza kazini Askofu Mteule Dkt. Daniel Henry Mono wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mwanga. Ibada hiyo imefanyika katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Soma zaidi »

NAJIVUNIA NCHI YANGU TANZANIA 🇹🇿

Tazama jinsi Watanzania wanavyojivunia nchi yao kupitia historia, utamaduni, vivutio vya utalii, maendeleo ya miundombinu, na jitihada za kulijenga taifa letu kwa mshikamano. 🔥 Pata msukumo wa kuwa Mtanzania mzalendo zaidi! 🎥 Angalia, toa maoni yako, na usisahau kusambaza ujumbe huu wa uzalendo kwa wengine. #NajivuniaTanzania #Uzalendo #VijanaWaKitanzania #Maendeleo #AmaniNaUmoja …

Soma zaidi »