Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mjumbe wa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani Balozi Susanne Wusan-Rainer kando ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika Jijini Sevilla nchini Hispania. Tarehe 01 Julai 2025
MatokeoChanya
July 1, 2025
CCM, DIPLOMASIA, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+
210 Imeonekana