Maktaba ya Mwezi: October 2024

Kheri ya siku ya kumbukizi Miaka 25 toka kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Tuendelee kuenzi Matokeo chanyA+ ya juhudi zake za kujenga umoja, amani, na maendeleo kwa taifa letu. Umoja ni nguvu, tukumbuke daima mafunzo yake kwa mustakabali wa Tanzania iliyo bora. #KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC

Soma zaidi »

Muonekano wa Daraja la JP. Magufuli linalounganisha eneo la Kigongo (Misungwi) na Busisi (Sengerema) lenye urefu wa km 3 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66. Mkoani Mwanza tarehe 13 Oktoba, 2024. Ujenzi wa daraja hilo umefikia asilimia 93 nalinatarajiwa kukamilika

Soma zaidi »

Maonyesho ya Land Rover Arusha yameingia kwenye kumbukumbu za rekodi za Dunia, jambo linaloashiria mafanikio makubwa katika sekta ya magari na pia umuhimu wa Tanzania, hasa Arusha, kama kitovu cha biashara ya magari barani Afrika. Tukio hili la kuvutia linaashiria mambo mengi muhimu

1. Umaarufu wa Land Rover: Land Rover ni chapa inayohusishwa na ubora wa magari ya hali ya juu, hasa kwa safari za nje ya barabara (off-road). Maonyesho haya yanasisitiza umaarufu wa gari hili sio tu kwa wapenzi wa magari lakini pia kwa sekta ya biashara, utalii, na uchukuzi wa mizigo …

Soma zaidi »