Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili mkoani Kilimanjaro

Rais Dkt. Samia anatazamiwa kuwa mgeni rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi yatakayofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) – Moshi, Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *