Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu pamoja na Katibu Mkuu wa CHADEMA,John Mnyika wameshiriki kilele cha kongamano la Tano la Ekaristi Takatifu Kitaifa la Kanisa Katoliki

Kongamano hilo la Kanisa Katoliki limefanyika leo Septemba 15 ,2024 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *