Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wananchi wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
MatokeoChanya
September 1, 2024
CCM, JWTZ, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+
551 Imeonekana