LOLIONDO: Ujenzi wa Barabara ya Loliondo – Mto wa Mbu UMESHIKA KASI #TupoVizuri.
Matokeo ChanyA+
September 13, 2018
Taarifa Vyombo vya Habari, Tanzania, Tanzania MpyA+
2,244 Imeonekana

- Ni barabara inayotoka Ngorongoro, Loliondo itapita Wasso hadi Mugumu mpaka Mto wa Mbu

- Itakuwa na urefu wa kilomita 218

- Inanajengwa kwa kiwango cha lami
- Itapita katika mikoa minne; Mara, Manyara, Arusha na Mwanza

- Ujenzi utakuwa wa kasi utakaofanyika kwa awamu mbali mbali ambapo awamu ya kwanza itaanzia kijiji cha Waso hadi Sale na itakuwa na urefu wa km 49
