- Awaasa wananchi kuwa makini na matapeli wanaochangisha pesa wakidai watawaiginza katika mgao wa fedha hizo.

- Asema wapo wanatumia jina la Ofisi yake kuwalaghai wananchi

- Asema pesa hizo zitakuja lakini kwa sasa serikali inashughulikia mambo ya huduma za jamii kwanza.
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+