Hafla ya Makabidhiano Eneo la Ujenzi wa Stiglers Gorge Leo Februari 14, serikali kupitia Wizara ya Nishati, inafanya hafla ya makabidhiano ya eneo la ujenzi wa mradi wa kufua umeme kwa njia ya maji mkoani Rufiji. Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri mwenyeji wa Nishati, Dkt Medard Kalemani.
Soma zaidi »Taarifa ChanyA+
February, 2019
-
13 February
WAGONJWA 12 WAFANYIWA UCHUNGUZI WA MISHIPA YA MOYO KUPITIA MTAMBO WA CATHLAB
Jumla ya wagonjwa 12 wamefanyiwa uchunguzi wa kuangalia jinsi mishipa ya damu ya moyo inavyofanya kazi kupitia mtambo wa Cathlab ambao ni maabara ya uchunguzi na tiba ya mishipa ya damu ya moyo. Uchunguzi huo ambao umefanyika kwa siku mbili umefanywa na madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi …
Soma zaidi » -
12 February
TANZANIA YAPIGA HATUA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema nchi za Bara la Afrika zimeitaja Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa. Ameyasema hayo Februari 11, 2019 wakati akitoa muhtasari wa yaliyojiri kwenye Mkutano wa 32 wa Wakuu wa nchi za Afrika (AU) unaofanyika Addis Ababa, Ethiopa. Waziri …
Soma zaidi » -
11 February
SERIKALI YAPUNGUZA TOZO YA USHURU YA MCHUZI WA ZABIBU
Serikali imepunguza tozo ya ushuru ya mchuzi wa zabibu kutoka 3,315 hadi 450 kwa lita kwa kinywaji kikali kitokanacho na mchuzi wa zabibu. Akichangia Bungeni katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria Na.2/2019 Mbunge wa Viti Maalum Mh Mariam Ditopile ameishukuru serikali kwa kuleta mabadiliko hayo ya ushuru wa bidhaa na …
Soma zaidi »
January, 2019
-
29 January
TANESCO INATEKELEZA MIRADI MIKUBWA 22 KWA WAKATI MMOJA
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani wataondokana na tatizo la umeme baada ya transfoma yenye uwezo wa MVA 300 sawa na Mw 240 kuwasili. Transfoma hiyo itakiongezea uwezo kituo cha Ubungo kutoka MVA 300 hadi 600 sawa na MW 480. Kazi hii itakamilika Mwezi Mei …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+