Mkutano wa 15, Kikao cha 13
Soma zaidi »Taarifa ChanyA+
April, 2019
-
17 April
SERIKALI YAANZA MAZUNGUMZO NA NCHI ZA MISRI NA ALGERIA KUANDAA MAKUBALIANO YA KUUZA TUMBAKU YA TANZANIA
Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imeanzisha mazungumzo na nchi wanachama wa COMESA na nchi kama Misri na Algeria kupitia balozi zake ili kuandaa Makubaliano Maalum (Bilateral Agreement) yatakayoiwezesha Tanzania kupeleka tumbaku …
Soma zaidi » -
16 April
SERIKALI KUFANYA MABADILIKO YA KANUNI ZA MATUMIZI YA NYAVU BAHARINI
Serikali imepanga kufanya mabadiliko ya kanuni za matumizi ya nyavu upande wa bahari ili wavuvi waweze kutumia nyavu za milimita nane badala ya milimita kumi zilizokuwa zikitumika awali. Hayo yamesemwa leo, Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Ukerewe, …
Soma zaidi » -
15 April
LIVE: BUNGE, MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI – 15 APRILI, 2019
HOJA ZA SERIKALI – WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (TAMISEMI) – WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (UTUMISHI NA UTAWALA BORA)
Soma zaidi » -
12 April
TUNATAKA KURAHISISHA MAZINGIRA BIASHARA YA MADINI – BITEKO
Waziri wa Madini Doto Biteko amesema Serikali kupitia Wizara yake inalenga kurahisisha Mazingira ya Biashara ya Madini ikiwemo kuwalea wachimbaji na kuwataka wafanyabiashara na wachimbaji kuhakikisha wanajisimamia wenyewe kwa manufaa yao na Taifa. Waziri Biteko ameyasema hayo alipokutana na viongozi wa Chama Cha Wafanyabiashara wa Madini Tanzania (TAMIDA), wakiongozwa na …
Soma zaidi » -
8 April
LIVE:BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA; MKUTANO WA 15, KIKAO CHA 5
MAJADILIANO JUU YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020 MASWALI NA MAJIBU ASUBUHI YA LEO
Soma zaidi » -
4 April
LIVE: RAIS MAGUFULI AKIZINDUA VITUO VYA AFYA 352 NCHINI
https://youtu.be/D26WEET6ijM
Soma zaidi » -
3 April
LIVE: HAFLA YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MTWARA -NEWALA – MASASI KM 210.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka jiwe la msingi la Ujenzi wa barabara ya Mtwara ,Newala -Masasi Km 210 Sehemu ya Mtwara -Mnivata Km 50. Sherehe inafanyika Naliendele Mkoani Mtwara Aprili 3, 2019 Mhe. Rais Yupo ziara ya siku tatu Mkoani Mtwara
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+