Recent Posts

MUHKTASARI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 PROF KITILA MKUMBO

Muhtasari wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni nyaraka ya kimkakati inayolenga kuelekeza juhudi za maendeleo ya Tanzania kwa kipindi cha miaka 25 ijayo, hadi mwaka 2050. Dira hii imeandaliwa kwa kuzingatia muktadha wa ndani na wa kimataifa, mabadiliko ya kijamii, kiuchumi, kisiasa, …

Soma zaidi »

TAZAMA, SHIRIKI NA CHUKUA HATUA.

Wajibu wetu binafsi katika kulinda mazingira. Mazingira ni uhai—tukilinda mito, kupanda miti, na kudhibiti taka, tunalinda maisha yetu na vizazi vijavyo. Usisubiri mtu mwingine aanze. Chukua hatua leo: punguza matumizi ya plastiki, elimisha jirani yako, na uwe balozi wa mazingira kwa vitendo. Tazama video hii, shiriki na wengine, na kuwa …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka kwenye picha ya pamoja na Mawaziri mara baada ya Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025.

Soma zaidi »

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kuendeleza juhudi za kutafuta masoko ya nje ili kuongeza mauzo yatakayowezesha nchi kupata fedha za Kigeni.

Amesema kuwa TanTrade inapaswa kufanya tafiti za uhakika na uchambuzi wa masoko ambayo bidhaa za Tanzania zinaweza kuuzwa na kutoa taarifa hizo kwa wafanyabiashara kote nchini. Ametoa agizo hilo (Jumapili, Julai 13, 2025) alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufungaji wa Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya …

Soma zaidi »