Recent Posts

NAIBU WAZIRI NISHATI AZINDUA MRADI WA UMEME JUA NANJIRINJI

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (mwenye ushungi-kulia), akizungumza na baadhi ya viongozi na wawakilishi wa wananchi wa Kata ya Nanjirinji, wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi, alipokuwa katika ziara ya kazi ambapo alizindua rasmi mradi wa umeme jua, Mei 17, 2020. Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amezindua rasmi mradi …

Soma zaidi »

WIZARA YA ARDHI YAPOKEA VIFAA VYA ZOEZI LA URASIMISHAJI MAKAZI

Wizara wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi imepokea  vifaa kwa ajili ya uanzishaji wa masjala za kutunza nakala za hati za umiliki wa ardhi ikiwa sehemu ya zoezi la urasimishaji wa makazi linalofanyika nchi nzima. Vifaa vilivyotolewa wa kompyuta tano (5) na mashine mbili (2) za uchapishaji wa nyaraka mbalimbali …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA WADAIWA SUGU KODI YA ARDHI KUBANWA

Na Munir Shemweta, WANMM IRINGA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angelina Mabula amezitaka halmashauri zote nchini kuhakikisha zinapeleka hati za madai ya kodi ya pango la ardhi kwa wadaiwa sugu wa kodi hiyo kuanzia jumatatu tarehe 18 Mei 2020 na watakaokaidi kulipa kwa hiari wafikishwe …

Soma zaidi »

IDADI YA WAGONJWA WA CORONA IMEPUNGUA NCHINI – RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Jumapili ya Tano baada ya Pasaka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020. Rais Dkt. John …

Soma zaidi »