Recent Posts

WAZIRI MKUU: VIJANA, AKINAMAMA, NENDENI MKALIME

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi waache kukaa vijiweni na badala yake waanzishe bustani ili kujiongezea kipato. “Biashara ya bustani inalipa sana, yeyote anayetaka fedha, ataipata shambani. Nataka niwasisitize sana twende tukalime, twende shambani. Shamba siyo lazima ulime mahindi, mpunga pekee ama muhogo. Bustani …

Soma zaidi »

MRADI WA JULIUS NYERERE HATUA ZOTE 8 ZAKAMILIKA

Na mwandishi wetu, HATUA zote nane (8) za utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa maji la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115) kwenye bonde la mto Rufiji unaendelea kwa kasi inayohitajika, Mhandisi mkazi wa mradi huo Eng. Mushubila Kamuhabwa amewaambia waandishi wa habari kwenye eneo la mradi Julai …

Soma zaidi »

BALOZI SOKOINE AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNDP

Balozi Joseph Sokoine Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) ukiongozwa na Bi. Christine Musisi – Mwakilishi Mkazi mara baada ya kukamilika kwa kikao cha mashirikiano baina yao. Wengine katika picha ni wataalamu …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA RC, KM, NKM NA DC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo; Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Dkt. Jumanne Fhika kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Fhika alikuwa Ofisi ya Rais na anachukua …

Soma zaidi »

WAKAZI 58,821 KUNUFAIKA NA HUDUMA YA MAJI MKOANI IRINGA

Ukaguzi ukiendelea ujenzi wa tanki la kuifadhia maji Wakazi 58,821 wa tarafa za Ismani na Kilolo katika Halmashauri za Wilaya za Iringa na Kilolo kwa pamoja wanatarajia kunufaika na huduma ya majisafi na salama pindi Mradi wa Maji Ismani-Kilolo utakapokamilika mwezi Juni, 2021. Mradi huo unaotekelezwa kwa kutumia wataalam wa …

Soma zaidi »

MKATATUE MATATIZO YA WANANCHI – RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe …

Soma zaidi »