Recent Posts

TANZANIA, CHINA ZAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO, KUKUZA MAENDELEO

Tanzania na China zimeahidi kuendeleza ushirikiano wa kidiplomasia ili kuhakikisha kuwa nchi hizo zinakuwa na maendeleo endelevu.  Makubaliano hayo yamefanywa na Balozi wa China nchini, Mhe. Wang Ke, wakati alipokutana kwa mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI APOKEA MSAADA WA COMPYUTA 10 KUTOKA BENKI YA AZANIA

Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amepokea msaada wa Kompyuta 10 zenye thamani ya milioni 12 kutoka Benki ya Azania. Msaada huo ulipokelewa leo tarehe 10 Julai 2020 katika ofisi za ardhi mkoa wa Dodoma na kushuhudiwa na viongozi mbalimbali wa …

Soma zaidi »

AGIZO LA RAIS DKT MAGUFULI LAANZA KUTEKELEZWA MKOANI MOROGORO

Wananchi wa eneo la Ilonga Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wamemshukuru Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kutekeleza ahadi yake  ya kuunda kamati maalum ya kutatua kero za migogoro ya ardhi inayosababisha maafa kwa wananchi pamoja na ukosefu wa huduma za afya baada ya mmojawapo wa wajumbe wa kamati hiyo kufika katika …

Soma zaidi »

“KUTOA HUDUMA ZA AFYA ZA UHAKIKA NI JUKUMU LETU”- PROF. MAKUBI

Na. WAMJW-Dodoma Serikali imefanikiwa kutimiza dhamira ya kuhakikisha kunakuwa na upatikanaji na uwiano wa kutosha katika utoaji huduma za afya pamoja na kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya za uhakika na wakati. Hayo yamesemwa leo na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi wakati akifungua kikao kati ya Wizara ya …

Soma zaidi »

TAASISI YA BENJAMINI MKAPA (BMF) YAAJIRI WATU 575

Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Lawrence Museru akizungumza na na baadhi wataalamu wa afya waliopata ajira ya muda kupitia taasisi ya Benjamin Mkapa Taasisi ya Benjamin Mkapa (BMF) kupitia ufadhili wa mashirika ya Maendeleo ya Irish Aid, UKAID-DFID na UNFPA, imeajiri watumishi wa  kada mbalimbali za afya 575 …

Soma zaidi »