Recent Posts

MRADI WA UMEME RUSUMO UNA MANUFAA MTAMBUKA KWA WATANZANIA – SERIKALI

Veronica Simba – Ngara Serikali imeeleza kuwa Mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Kagera, unaotekelezwa Rusumo wilayani Ngara, una manufaa mtambuka kwa Watanzania. Hayo yalielezwa jana, Septemba 28, 2020 na Timu ya Serikali kutoka Tanzania inayosimamia Mradi huo ikihusisha Wakurugenzi wa Bodi na Kamati ya …

Soma zaidi »

DKT. KALEMANI AZINDUA REA KITONGOJI KWA KITONGOJI

Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani akizungumza na wananchi Kitongoji cha Migombani,kijiji cha Bukene, Wilaya ya Nzega, Mkoani wa Tabora(hayapo pichani), wakati wa uzinduzi wa mradi wa umeme kwa kila kitongoji nchini uliofanyika, Septemba 24,2020,mkaoni humo. Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amezindua rasmi usambazaji wa Umeme katika kila kitongoji nchini ambapo …

Soma zaidi »

KONGAMANO LA NNE LA TEHAMA KUFANYIKA OKTOBA 7 HADI 9

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Samson Mwela akizungumza katika Mkutano wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula (katikati) na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Kongamano la Nne la TEHAMA litakalofanyika Oktoba 7-9 katika Ukumbi wa Mikutano wa …

Soma zaidi »

MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WAUNGANISHA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kabla ya kushuhudia utiaji saini wa mkataba wa makubaliano wa kuunganisha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano na visiwa vya Unguja na Pemba wakiwa kwenye ukumbi wa Wizara ya …

Soma zaidi »

RUWASA KUMALIZA KERO YA MAJI KATA YA RUTAMBA

Serikali kupitia Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) inatekeleza mradi wa maboresho wa Mradi wa Maji wa Rutamba kwenye Halmashauri ya Mtama katika mkoa wa Lindi kwa lengo la kumaliza changamoto ya upatikanaji wa majisafi na salama kwa wakazi wa kijiji hicho. Meneja wa RUWASA mkoa …

Soma zaidi »