Recent Posts

MAJALIWA – WATENDAJI SEKTA YA MAJI FANYENI KAZI WA UZALENDO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi na watendaji wote wa sekta ya maji nchini kufanya kazi kwa uzalendo, bidii na weledi na kwa kutanguliza maslahi mapana ya nchi. Amesema lengo ni kuhakikisha kuwa kiwango cha upatikanaji wa huduma ya maji nchini kinaongezeka ili kufikia malengo ya kufikisha maji kwa kiwango cha …

Soma zaidi »

TANZANIA KINARA WA UBORA WA SEKTA YA FEDHA KUSINI MWA AFRIKA

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (Mb) (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. FLorens Luoga, wakisikiliza mada mbalimbali kuhusu masuala ya Fedha na uchumi wakati wa Semina kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, iliyofanyika Zanzibar. Sekta ya Fedha nchini Tanzania inaongoza …

Soma zaidi »

WAZIRI MHAGAMA ARIDHISHWANA UTENDAJI WA NSSF, AWAHIMIZA KUENDELEZA UFANISI

Mkurugenzi Mkuu NSSF Bw.Masha Mshomba ahutubia na kueleza utekelezaji wa ofisi yake kabla ya ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la NSSF lililofanyika Mkoani Morogoro. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Utatibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama amepongeza kazi inayofanywa na Mfuko …

Soma zaidi »

SERIKALI YATOA AJIRA ZA WALIMU 6,949

Na Adili Mhina. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu ametangaza nafasi za ajira za walimu 6,949 wa Shule za Msingi na Sekondari zinazolenga kujaza nafasi wazi za watumishi waliokoma utumishi wao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo, kuacha kazi, kufukuzwa …

Soma zaidi »

UADILIFU KUWEZESHA UKUAJI WA UCHUMI WA BLUE

Na. Peter Haule, WFM, Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Mhe. Haroun Ali Suleiman, amewataka watakaopewa jukumu la kuendesha Boti iliyotolewa kwa Taasisi ya Mfuko wa Maendeleo ya Elimu Jimbo la Kikwajuni kwa ajili shuguli za uchumi wa blue kuwa waaminifu ili …

Soma zaidi »