Recent Posts

URUSI: MATATIZO YA AFRIKA YATATULIWE NA WAAFRIKA WENYEWE

Na Mwandishi wetu, Dar Shirikisho la Urusi limesema linaunga mkono jitihada zinazofanywa na Umoja wa Afrika katika kutatua changamoto zinazolikabili bara hilo kwa kuwa matatizo ya Afrika yanahitaji kutatuliwa na Waafrika wenyewe bila kuingiliwa na Mataifa mengine. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe Maalum wa Rais wa Shirikisho …

Soma zaidi »

TANZANIA YAZINDUA RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA SADC

Tanzania imezindua rasmi maadhimisho ya Miaka 40 tangu kuanzishwa kwa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ilinzishwa rasmi tarehe 1 Aprili 1980. Akiongelea uzinduzi wa maadhimisho hayo Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amesema Tanzania ikiwa ni miongoni …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AZITAKA TPA, TRA, TASAC NA EGA ZIFANYE KAZI KWA USHIRIKIANO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania, Mamlaka ya Bandari Tanzania na Mamlaka ya Serikali Mtandao kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuboresha utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam Ameyasema hayo (Jumatano, Mei 12, 2021) alipotembelea bandari ya Dar es Salaam ili kuona utendaji wa bandari hiyo. “TPA …

Soma zaidi »

WAZIRI WA UINGEREZA ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA AFRIKA – TANZANIA NI MBIA MUHIMU WA UK NA JUMUIYA YA MADOLA

Uingereza imesema Tanzania ni mbia muhimu wa miaka mingi wa maendeleo na katika Jumuiya ya Madola na kwamba Nchi ya Uingereza itaendelea kushirikiana na Tanzaniakatika masuala ya uwekezaji,biashara,diplomasia na utawala bora. Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddridge ameyasema hayo katika mazungumzo rasmi aliyoyafanya na Waziri wa …

Soma zaidi »

TANZANIA MBIA MUHIMU WA UINGEREZA, JUMUIYA YA MADOLA

Uingereza imesema Tanzania ni mbia wake muhimu wa miaka mingi katika maendeleo na Jumuiya ya Madola na kuahidi kuwa itaendelea kushirikiana na Tanzania katika masuala ya kidiplomasia, biashara na uwekezaji. Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika James Duddridge ameyasema hayo jijini Dar es Salaam katika mazungumzo rasmi aliyoyafanya na …

Soma zaidi »