Recent Posts

MAJALIWA AAGIZA UCHUNGUZI WATENDAJI WIZARA YA FEDHA

Waziri Mkuu, Mheshimwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu,  Mkaguzi  Msaidizi pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha  za umma zinazowakabili. Akizungumza katika Kikao Kazi na Waziri wa Fedha na Mipango, Kaibu Mkuu,Manaibu  Katibu Wakuu na Watendaji Waandamizi wa Wizara …

Soma zaidi »

TANZANIA, KENYA WAJADILI VIKWAZO VISIVYO VYA KIFORODHA

Timu ya wataalamu kutoka Tanzania imekutana na timu ya wataalamu kutoka Kenya Jijini Arusha kujadili njia za kuondoa vikwazo visivyo vya kibiasha baina ya Nchi hizo kwani vimekuwa vikiathiri biashara, mkutano wa leo Mei 26, 2021 ni maandalizi ya mkutano wa Mawaziri wa Biashara wa pande zote mbili utakaofanyika tarehe …

Soma zaidi »

SERIKALI YAANZA UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA RAIS NA IMF

Na Farida Ramadhan, WFM – Dodoma Serikali imeanza utekelezaji wa maelekezo ya kikao cha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Kimataifa (IMF), Bi. Kristalina Georgieva kilichofanyika kwa njia ya mtandao mwanzoni mwa mwezi huu ambacho pamoja na mambo mengine walijadili kuhusu atheri za kiuchumu …

Soma zaidi »

SEKRETARIETI YA SADC YA UTATU YAKUTANA KWA DHARURA

Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC imeitisha mkutano wa dharura wa utatu wa Jumuiya hiyo wenye lengo la kujadili mapendekezo ya Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Afya kuhusu hali ya ugonjwa wa COVID – 19. Katika Mkutano huo uliofanyika kwa njia ya mtandao Tanzania imewakilishwa na …

Soma zaidi »