Recent Posts

UJENZI WA MAJENGO MJI WA SERIKALI SASA SI WAKATI WA NADHARIA

Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemkabidhi mkandarasa anayejenga jengo la wizara yao ambapo sasa vifaa vinatakiwa kuletwa katika eneo la ujenzi ambalo tayari limeshasafisha kwa kuanza kwa ujenzi huo. Hayo yamebainika leo septemba 29, 2021 Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma ambapo zoezi la makabidhiano limefanyika mbele ya Wakala …

Soma zaidi »

BENKI YA DUNIA YAJA NA NEEMA KWA TANZANIA

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akieleza kuhusu suala la ajira kwa vijana wakati wa mkutano na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Kusini na Mashariki mwa Afrika, Dkt. Hafez Ghanem (hayupo pichani), jijini Dodoma. Benki ya Dunia imeahidi kuisaidia Tanzania kukabiliana …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MAKAMU WA BENKI YA DUNIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Hafez Ghanem Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Septemba 28 , 2021. Makamu wa Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Septamba 28, 2021 …

Soma zaidi »

WAZIRI MAKAMBA; WAKUU WA MIKOA WANA JUKUMU KUBWA MRADI WA EACOP

Na  Dorina G. Makaya na Janeth Mesomapya – Tanga. Waziri wa Nishati, Mh. January Yusuf Makamba ameeleza kuwa Wakuu wa Mikoa minane (8) ambapo utapita mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) wanajukumu kubwa katika kufanikisha utekelezaji wa mradi huo kwa kuimarisha ulinzi na usalama pamoja na …

Soma zaidi »

KASEKENYA AMTAKA MKADARASI DARAJA LA JPM KUFIDIA MUDA ULIPOTEA

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, amemtaka mkandarasi wa kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation na China Railway 15 Bureau Group Corporation wanaojenga Daraja la JPM (Kigongo hadi Busisi), lenye urefu wa kilometa 3.2 kufidia muda uliopotea na kuwafanya wawe nyuma kwa asilimia 7.Akikagua maendeleo ya …

Soma zaidi »

WAZIRI MKENDA AWATAKA WADAU WA NDIZI KUCHANGAMKIA FURSA

Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda (Mb) akizungumza wakati wa akifungua mkutano wa wadau wa zao la ndizi Kanda ya Kaskazini uliofanyika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, Septemba 25, 2021. Waziri wa Kilimo, Mhe Prof. Adolf Mkenda, amewataka wadau wa zao la ndizi nchini ikiwemo wawekezaji kuchangamkia frusa ya kuzalisha …

Soma zaidi »