RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU MAALUM WA ALAT JIJINI DODOMA Matokeo ChanyA+ September 27, 2021 RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Acha maoni 778 Imeonekana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo Sept 27,2021. Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest