Recent Posts

WAZIRI MKENDA AAGIZA UTARATIBU WA UNUNUZI UZINGATIWE

Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda akizungumza na wakazi wa kijiji cha Mgazini kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Peramiho mkoani Ruvuma alipofika kukagua zoezi la ununuzi wa mahindi baada ya serikali kutoa jumla ya Shilingi Bil. 50 kwa ajili ya ununuzi mahindi kutoka kwa wakulima. Waziri wa Kilimo, Prof Adolf …

Soma zaidi »

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU CHA GEITA GOLD REFINERY

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Sarah Masasi ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Geita Gold Refinery kilichopo Mjini. Geita baada ya kukitembelea kiwanda hicho, Septemba 22, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata Maelezo kutoka kwa Meneja Uendeshaji wa …

Soma zaidi »

DKT MABULA AHIMIZA KASI YA UPIMAJI ARDHI BAHI

Na Munir Shemweta, BAHINaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameitaka halmashauri ya wilaya ya Bahi mkoani Dodoma kuongeza kasi ya upimaji ardhi katika maeneo mbalimbali ili kuepuka ujenzi holela.Alisema, kwa sasa maeneo mengi katika halmashauri hiyo yamepanuka kimji na hivyo kuhitaji kupangwa vizuri kwa …

Soma zaidi »

BANDARI YA MTWARA KUTIMIKA KUSAFIRISHA KOROSHO – WAZIRI MKENDA

Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda pamoja na Naibu Waziri, Hussein Bashe wakiwa wameongozana na viongozi wengine wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakikagua utayari wa bandari ya Mtwara kuelekea kuanza msimu wa uuzwaji wa korosho ambao unatarajiwa kuanza hivi karibuni wakati wa ziara ya Waziri Mkenda bandarini hapo, …

Soma zaidi »

PROF MKENDA ATAKA MIKAKATI UBANGUAJI KOROSHO KUFIKIA 60% IFIKAPO 2025

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Mtwara Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amewataka wabanguaji zao la korosho kuja na mikakati  itakayowezesha zoezi hilo kufikia asilimia 60 au 100 ifikapo mwaka 2025. Waziri Mkenda ameyasema hayo mjini Mtwara wakati akizungumza na wadau wa ubanguaji Korosho kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Benki …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA ASHIRIKI UFUNGUZI RASMI WA MKUTANO WA 76 WA UN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Septemba 21, 2021 ameshiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) unaofanyika Jijini New York Marekani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, tarehe 21 Septemba, 2021 ameshiriki ufunguzi wa …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA: VIJIJI VYOTE NCHINI KUPATIWA HUDUMA YA MAJI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameweka mikakati madhubuti unayolenga kumaliza tatizo la upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika vijiji vyote nchini vikiwemo vya wilaya ya Bukoba mkoni Kagera. Amesema Serikali inaendelea kutekeleza kampeni ya Rais Mheshimiwa Samia ya kumtua mama ndoo kichwani …

Soma zaidi »