Recent Posts

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Mhe. William Lukuvi, amewahakikishia Watanzania kuwa dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARVs) zinapatikana kwa asilimia 100 nchini na zinatolewa bila malipo kwa watu wote wanaoishi na VVU (WAVIU).

Amesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa Tamko la Serikali kuhusu Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kwa mwaka 2025 yamefanyika chini ya kaulimbiu: “Imarisha Mwitikio, Tokomeza UKIMWI”. Waziri Lukuvi amesema upatikanaji wa dawa hizo umeendelea kuimarika, huku idadi ya WAVIU wanaotumia Dawa za ARV ikiongezeka kutoka …

Soma zaidi »

DAMU YA WATANZANIA NI YETU SOTE

Sote ni wamoja, Majonzi ya mmoja ni ya wote. Tanzania moja, haki na umoja. Tuwe watulivu, tuendelee kujenga nchi yetu kwa amani na upendo.” #SisiNiTanzania #Tanzania #TanzaniaYetu #AmaniKwanza #UmojaNaAmani #KijanaWaKitanzania #MabadilikoChanya #TanzaniaMoja #KaziIendelee #PatriotismTZ