Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Kongamano la Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam, leo 24 Agosti, 2025.
Soma zaidi »Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camillus Wambura
Walikuwa wakiteta kabla ya kufunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar.
Soma zaidi »RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA ULINZI ELIAS KUANDIKWA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amempongeza Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kuandikwa kwa uteuzi alioupata na kuahidi kuendelea kushirikiana nae. Rais Dk. Hussein Mwinyi aliyasema hayo leo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipofanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi …
Soma zaidi »KAMERA 306 ZENYE UWEZO WA KUMTAMBUA MHALIFU ZAKABIDHIWA WIZARA YA ULINZI
Asteria Muhozya na Issa Mtuwa, Mirerani Kwa mara nyingine tena Ukuta unaozunguka Migodi ya Tanzanite Mirerani wenye urefu wa kilomita 24.5 umeingia kwenye historia nyingine baada ya kufungwa jumla ya Kamera 306 za Usalama zenye uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yoyote ikiwemo kumbaini mhalifu. Kamera hizo zimewekwa kufuatia kuwepo …
Soma zaidi »