Wizara ya Maji

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SUNGUSUNGU CCM KIRUMBA MWANZA

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikutana na kuzungumza na Sungusungu Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, leo tarehe 20 Juni, 2025 🔔 Usisahau kusubscribe, kupenda (like), na kushirikisha video hii kwa wengine. Tanzania ya Viwanda na Maendeleo Inawezekana! #RaisSamia #MradiWaMajiButimba #MaendeleoKwaWote #SamiaSuluhu #MajiNiUhai #TanzaniaYaMapinduzi

Soma zaidi »

MHE RAIS. DKT, SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MRADI MKUBWA WA MAJI BUTIMBA

tarehe 20 Juni, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Mradi wa Maji wa Butimba jijini Mwanza na kuzungumza moja kwa moja na wananchi waliokusanyika kwa shangwe na matumaini makubwa. Mradi huu wa kimkakati unalenga kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama …

MZEE EDWARD PETER MAGANGA VIJANA SIMAMENI KULINDA AMANI NA KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

Mzee Edward Peter Maganga ametoa wito kwa vijana wa Tanzania kusimama imara kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa vitendo, hasa kwa kulinda amani na utulivu wa nchi. Amesema maendeleo yaliyofikiwa hadi sasa yametokana na kuheshimu utaratibu, sheria na misingi ya kidemokrasia ambayo imeijenga Tanzania kuwa taifa lenye mshikamano. …

Soma zaidi »

JE UNAJUA MAJI NI UHAI UNAOLINDA AFYA NA MAZINGIRA

Maji ni rasilimali muhimu inayochangia moja kwa moja katika afya ya binadamu na uhai wa mazingira yetu. Upatikanaji wa maji safi na salama husaidia kuzuia magonjwa, kuimarisha lishe, na kuboresha hali ya maisha kwa ujumla. Mbali na afya, maji yana mchango mkubwa katika kulinda mazingira kwa kusaidia ukuaji wa mimea, …

Soma zaidi »

MRISHO MPOTO AELEZA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA SEKTA YA MAJI.

Katika video hii, Msanii na Mwanaharakati wa Jamii, Mrisho Mpoto, anazungumzia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya maji nchini. Kupitia juhudi za serikali na wadau mbalimbali, wananchi wengi sasa wanapata maji safi na salama, jambo ambalo limeleta mabadiliko chanya katika afya, kilimo, na maendeleo ya kijamii. Mpoto anaeleza jinsi miradi …

Soma zaidi »