WIZARA YA AFYA

ONA JINSI TANI 18 4 YA SHEHENA YA DAWA MPYA YA KULEVYA NA WATUHUMIWA WALIVYOKAMATWA DAR ES SALAAM

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata shehena ya dawa mpya ya kulevya aina ya mitragyna speciosa mifuko 756 yenye uzito wa jumla ya kilogramu 18,485.6 sawa na tani 18.5 iliyokuwa ikiingizwa nchini kama mbolea. Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2025 na Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas …

Soma zaidi »

DCEA NA ITV WAWEKA MIKAKATI YA USHIRIKIANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amefanya ziara maalum katika ofisi za ITV zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo ililenga kuimarisha ushirikiano kati ya Mamlaka na kituo hicho cha habari katika juhudi za kuhabarisha na kuelimisha umma juu ya …

Soma zaidi »

DCEA INAJUKUMU LA KUDHIBITI DAWA ZOTE ZA KULEVYA TANZANIA

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) ni chombo cha serikali chenye jukumu la kusimamia, kudhibiti na kupambana na matumizi, biashara na usambazaji wa dawa zote za kulevya ambazo ni haramu nchini. DCEA hufanya kazi ya kuzuia uingizaji na utengenezaji wa dawa hizi, kuteketeza mashamba ya mimea …

Soma zaidi »

MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA TUPO NANE NANE DODOMA

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) inashiriki kikamilifu katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika jijini Dodoma. Unapofika kwenye lango kuu la kuingilia viwanja vya maonesho, takribani mita 100 upande wa kushoto, utaliona banda la Ofisi ya Waziri Mkuu likiwa na maonyesho ya kipekee kutoka DCEA. Karibu ulitembelee …

Soma zaidi »

MAMLAKA YA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA YATUMIA NGUZO KUU NNE KUPAMBANA NA JANGA LA DAWA ZA KULEVYA

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya matumizi na usambazaji wa dawa za kulevya nchini. DCEA inatekeleza jukumu hili kwa kutumia nguzo kuu nne ambazo ni: kupunguza upatikanaji wa dawa za kulevya, kupunguza uhitaji, kudhibiti madhara na kuimarisha ushirikiano …

Soma zaidi »

UHAMIAJI NA DCEA HUSHIRIKIANA KWA ULINZI WA MIPAKA NA VIPENYO VYA DAWA ZA KULEVYA

Idara ya Uhamiaji ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejikita kwa nguvu kubwa katika kuzuia mianya yote inayoweza kutumiwa na wasafirishaji wa dawa za kulevya kuingia au kutoka nchini. Kwa kushirikiana kwa karibu na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Idara hii imeongeza ulinzi na ufuatiliaji …

Soma zaidi »

🔴 LIVE: KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA.

Karibu uungane nasi mubashara leo tarehe 26 Juni, 2025, moja kwa moja kutoka Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma, kushuhudia Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya. Maadhimisho haya yanafanyika kwa lengo la kuelimisha na kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu …

Soma zaidi »

UWEZESHAJI WA WARAIBU WA ZAMANI, SULUHISHO LA KUDUMU KUKOMESHA UREJEO WA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

Mdau wa kupinga matumizi ya dawa za kulevya Nuru Saleh Ahmed ameeleza kuwa Ni muhimu kwa Serikali kushirikiana na jamii katika kuwawezesha waraibu wa zamani wa dawa za kulevya kwa kuwapatia mitaji na fursa za kiuchumi baada ya wao kuacha matumizi ya dawa hizo. Utafiti na hali halisi unaonesha kuwa …

Soma zaidi »

VIJANA WAMWAGA SIFA KWA SERIKALI KATIKA KONGAMANO LA KUPINGA DAWA ZA KULEVYA JIJINI DODOMA

Katika Kongamano la Vijana Kupinga Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya lililoandaliwa na Mamlaka ya Kupiga vita na Kupambana na dawa za kulevya (DCEA) lililofanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma, vijana kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walijitokeza kwa wingi kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na …

Soma zaidi »