Katika fainali ya mpira wa miguu iliyofanyika kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu John, timu ya Wagoloko FC iliibuka kidedea kwa kuifunga Mwaise FC mabao 2–0, mbele ya mamia ya mashabiki waliokuwa wakishangilia kwa hamasa kubwa. Kamishna Lyimo amesema tukio hilo limekuwa zaidi ya mchezo limekuwa darasa la mshikamano, nidhamu …
Soma zaidi »Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya, yatakayofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma, tarehe 26 Juni 2025
#WorldDrugDay #DCEA
Soma zaidi »HUYU NI RAIS MWENYE HURUMA NA ANAYEWAJALI WATANZANIA WOTE
#MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata watuhumiwa saba kwa ajili ya mahojiano huku pikipiki mbili zikikamatwa katika vijiji vya Ntomoko, Kinyasi na Haubi
#DCEA_Mpya #DCEA
Soma zaidi »Ni yapi madhara ya utumiaji mirungi kwa wanaonyonyesha?
#NiulizeNikujibu_DCEA #DCEA_Mpya #DCEA
Soma zaidi »Ni yapi madhara ya utumiaji mirungi kwa wajawazito?
#NiulizeNikujibu_DCEA #DCEA_Mpya #DCEA
Soma zaidi »Hongera Prof Janabi, Hongera Tanzania
Ni yapi madhara ya Utumiaji mirungi?
#NiulizeNikujibu_DCEA #DCEA_Mpya #DCEA
Soma zaidi »Ni nini kinachosababisha mtu kutumia dawa za kulevya?
#NiulizeNikujibu_DCEA #DCEA_Mpya #DCEA
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+