TUME YA UCHAGUZI

DIRA IMEBEBA NDOTO NA MATARAJIO YA WATANZANIA – RAIS DKT SAMIA SULUHU

Kauli hii ni mwendelezo wa wito wa kizalendo unaotufundisha kwamba dira ya taifa letu haijabaki kwenye karatasi pekee, bali imebeba ndoto, matumaini na matarajio ya kila Mtanzania. Ndoto ya maendeleo, ustawi wa jamii na umoja wa taifa letu. Katika hotuba hii, Rais Samia anasisitiza mshikamano, mshikikano wa kazi na mshirikiano …

Soma zaidi »

KUTUMIA NJIA ZA AMANI KUONDOSHA MIGOGORO NDIO KUNAKOLETA AMANI – RAIS . DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Amani ya kweli haipatikani kwa nguvu wala kwa mabishano yasiyoisha, bali hupatikana pale tunapochagua njia za amani katika kusuluhisha migogoro. Kauli hii inatufundisha kuwa mazungumzo, maridhiano, na uvumilivu ndio silaha kubwa zaidi kwa ustawi wa jamii na taifa. Kila mtu ana nafasi ya kuchagua amani badala ya vurugu, mshikamano badala …

Soma zaidi »

AMANI INAANZA NA MIMI โ€“ RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Amani ya kweli inaanzia ndani ya moyo wa kila mmoja wetu. Nukuu hii ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inatufundisha kuwa amani si kitu cha mbali โ€“ ni hali ya ndani inayojengwa kwa kutosheka, utulivu, na mshikamano wa kijamii. Kupitia maneno haya, tunaalikwa kukumbuka kuwa kila mmoja wetu ana …

Soma zaidi »

UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM WATAKAOGOMBEA NAFASI ZA UBUNGE NA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KWA MAJIMBO NA VITI MAALUM

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinapenda kuwajulisha wanachama wake na umma wa Watanzania kuwa, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika kikao chake cha tarehe 23 Agosti, 2025 imefikira na kufanya uteuzi wa mwisho wa majina ya wanachama wanaoomba nafasi za Ubunge na majina ya wanachama wanaoomba nafasi ya Ujumbe wa …

Soma zaidi »

MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Begi lenye Fomu zake za kugombea nafasi hiyo mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Dodoma.

Soma zaidi »

DKT. SAMIA AANZA RASMI SAFARI YA UCHAGUZI โ€“ ACHUKUA FOMU NEC KWA USHINDI WA CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, amechukua rasmi fomu ya uteuzi katika Tume Huru ya Uchaguzi, kuashiria mwanzo wa safari ya uchaguzi kwa chama tawala. Tukio hili limehudhuriwa na viongozi waandamizi wa CCM, wafuasi, na wananchi …

Soma zaidi »