Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, alifanya ziara wilayani Mtwara, kijijini Msimbati, ambapo alizungumza na wananchi baada ya kukagua majengo ya Kituo cha Afya na Kituo cha Polisi. Vituo hivi vimejengwa kwa kutumia fedha zilizotolewa kupitia Mpango wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) wa Shirika la …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Galeão Air Force Base Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil
Haki Ngowi@Hakingowi Rio de Janeiro Mheshimiwa rais Samia mewasili huko kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20. Rais Dkt. Samia amealikwa na Rais wa Brazil Mhe. Luiz Inácio Lula da Silva ambapo pamoja na mambo mengine, atashiriki mijadala inayolenga …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)
Mheshimiwa rais anaelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa kundi la G20. Rais Dkt. Samia amealikwa na Rais wa Brazil Mhe. Luiz Ińacio Lula da Silva ambapo pamoja na mambo mengine, atashiriki mijadala inayolenga kuimarisha ushirikiano …
Soma zaidi »Tanzania ina utajiri wa rasilimali na fursa za kiuchumi zinazotofautiana kulingana na mikoa yake. Kila mkoa una sifa maalum zinazoweza kuchangia katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii
Mkoa wa Dar es Salaam Biashara na Huduma Kama kitovu cha kibiashara na bandari kuu nchini, Dar es Salaam ina fursa nyingi katika sekta za biashara, usafirishaji, na huduma za kifedha. Viwanda Uwepo wa viwanda vingi hutoa nafasi za ajira na uwekezaji katika uzalishaji wa bidhaa mbalimbali. Mkoa wa Arusha …
Soma zaidi »Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa mstari wa mbele katika kuhimiza ushirikishaji wa jamii katika mapambano dhidi ya njaa nchini Tanzania. Ameweka msisitizo kwenye kuboresha usalama wa chakula kupitia mipango mbalimbali inayolenga kuongeza uzalishaji wa kilimo na kuhakikisha upatikanaji wa chakula kwa wananchi wote
Katika mkutano wa G20 unaotarajiwa kufanyika Rio de Janeiro, Brazil, tarehe 18 hadi 19 Novemba 2024, Rais Samia amealikwa kushiriki kama mgeni mwalikwa. Ushiriki wake katika mkutano huu ni fursa muhimu kwa Tanzania kuwasilisha ajenda zake kuhusu usalama wa chakula na ushirikishaji wa jamii katika mapambano dhidi ya njaa. Kupitia …
Soma zaidi »“KUJENGA ULIMWENGU WA HAKI NA SAYARI ENDELEVU”
#SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #kilimochakisasa
Soma zaidi »Tanzania Itakuwa Bora Na Imara Ikiwa Kila Mmoja Wetu Atatimiza Wajibu Wake Wa Msingi
Wapendwa Watanzania wenzangu, wakati wa kuchagua viongozi wetu unakaribia. Ni fursa adhimu na ya kipekee kwa kila mmoja wetu kuamua mustakabali wa taifa letu. Kupiga kura ni haki yetu ya msingi, lakini zaidi ya haki ni wajibu wa kila mmoja katika kujenga Tanzania tunayoitaka.
Soma zaidi »Huu Ndio Wakati Wetu Wa Kuonesha Uzalendo Kwa Vitendo Kwa Taifa Letu, Tujitokeze Tukapige Kura!
Tanzania mbele kwa kura yako! Huu ndio wakati wetu wa kuonesha uzalendo kwa vitendo na kuimarisha taifa letu. Kwa pamoja, tukitoa sauti zetu kwa njia ya kura, tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli. Hivyo basi, tusikose kutimiza wajibu huu muhimu wa kitaifa.
Soma zaidi »“Tujitokeze Tupige Kura Kwa Viongozi Wanaotamani Kuona Tanzania Ikisonga Mbele”
Tusikubali kusimama pembeni wakati wa uamuzi muhimu. Kwa pamoja, tukiwa na umoja na uzalendo, tujitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura, tuweke sauti yetu kwa viongozi wanaotamani kuona Tanzania ikisonga mbele. Tukumbuke kuwa kila kura ina umuhimu na maana kubwa kwa mustakabali wa nchi yetu.
Soma zaidi »Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa matumizi ya mfumo wa kielektroniki wa Baraza la Mawaziri utasaidia kuboresha utendaji kazi na kuleta ufanisi zaidi katika kuwahudumia wananchi
Amesema kuwa maboresho hayo ya matumizi ya mfumo wa kielektroniki yatasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza matumizi ya karatasi katika vikao vya Serikali, hususan Baraza la Mawaziri, hivyo kupunguza changamoto ikiwemo kuchelewa kwa taarifa, gharama kubwa za uchapaji na hatari ya upotevu wa taarifa muhimu. Amesema hayo leo (Jumatatu, Novemba 11, …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+