Hayo yameelezwa Desemba 11, 2024 Jijini Dodoma na NaibuKatibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi Christina Mndeme wakati wa mazungumzo baina yake naUjumbe wa Wizara ya Maliasili na Mabadiliko ya Tabianchiwa Serikali ya Jamhuri ya Malawi ulioongozwa naMkurugenzi wa Mazingira wa Wizara hiyo, Bi. TawongaMbale-Luka. Mndeme amesema mataifa …
Soma zaidi »KALENDA YA MIHULA YA MASOMO KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KWA MWAKA 2025.
RAIS SAMIA AMUAPISHA DKT. DAMAS NDUMBARO KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024.
Soma zaidi »Uzinduzi huu ni hatua muhimu katika kutekeleza misingi ya Katiba ya Tanzania, hasa katika kuhakikisha haki, usawa, na uwajibikaji wa kisheria
Kampeni hii si tu inaleta msaada wa kisheria bali pia inaimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora nchini Tanzania.
Soma zaidi »“NENDA KAANZIE PALE ALIPOREKEBISHA BASHUNGWA, NA UENDELEZE WIZARA YA UJENZI VIZURI” Rais Dkt Samia
“NATARAJIA SASA KILE KITI UTAKIACHA NA UTASHUKA NA WATAALAMU KWENYE FILD UKAFANYE KAZI YAKO”
Haya ni maelekezo makini na yenye msisitizo kutoka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bi Aisha. Rais anaonyesha umuhimu wa mawaziri kushuka hadi ngazi za chini ili kushirikiana moja kwa moja na wananchi na wataalamu kwenye sekta husika, hasa katika utekelezaji wa miradi na …
Soma zaidi »MHE. MASAUNI TWENDE UKAIMARISHE MUUNGANO WETU, NI CV YAKO NYINGINE, PIA KAIMARISHE JIMBO KIKWAJUNI.
Ni mafanikio gani makubwa ambayo Watanzania wanapaswa kujivunia tangu kupata Uhuru?
MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA
RAIS SAMIA ANASHIRIKI KWENYE MJADALA WA WAKUU WA NCHI AFRIKA MASHARIKI
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameongoza Mkutano wa 24 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika jijini Arusha. Mkutano huu umewaleta pamoja viongozi wa nchi wanachama kujadili masuala muhimu yanayoathiri kanda na mustakabali wa jumuiya. Mantiki ya Mjadala: Ufadhili Endelevu wa Jumuiya: Wakuu …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+