Karibu kutazama mubashara (LIVE) hafla ya kihistoria ya Ufunguzi wa Kanisa la Arise & Shine katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe – Dar es Salaam, ikihudhuriwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika tukio hili maalum, Mhe. Rais anashiriki kwa heshima kuu kwenye …
Soma zaidi »MALEZI BORA NI SULUHISHO LA KUDUMU DHIDI YA URAIBU KWA WATOTO – MOHAMED JUMAhttps://youtu.be/1xzUwyOshro
Mohamed Juma, Meneja wa nyumba ya Mamas and Papas House iliyopo Mkuranga, Dar es Salaam, amesema kuwa moja ya chanzo kikuu cha uraibu katika jamii ni ukosefu wa malezi bora kwa watoto kuanzia wakiwa wadogo. Nyumba hiyo imejikita katika kutoa elimu kuhusu malezi na afya ya akili kwa watu walioathirika …
Soma zaidi »LIVE: 🌿 TANZANIA GREEN SUMMIT 2025 | Kuijenga Tanzania Kijani kwa Maendeleo Endelevu
VIJANA WAIPONGEZA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KWA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
Anna Mathayo Phanga kutoka taasisi ya Blue Cross Society of Tanzania ya jijini Arusha amesema serikali ya awamu ya sita imefanya kazi kubwa ya kuokoa maisha ya Watanzania kwa kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika kinga na tiba dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya. Ameeleza kuwa hatua hizi zimeleta matumaini …
Soma zaidi »ASASI ZA KIRAIA ZAIPONGEZA DCEA KWA USHIRIKIANO KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
Viongozi wa asasi mbalimbali za kiraia zinazotoa elimu ya athari za matumizi ya dawa za kulevya wameipongeza Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana nao bega kwa bega katika mapambano dhidi ya janga hilo linaloathiri maisha ya vijana wengi nchini. Miongoni mwa taasisi zilizoshiriki ni …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara za huduma za kifedha ili kuvutia uwekezaji wa ndani na nje kwa kuwa maendeleo endelevu ya taifa hayawezi kufikiwa bila ushiriki thabiti wa sekta binafsi
Amesema kuwa sekta ya fedha ni kichocheo kikubwa katika ukuaji wa Uchumi na ustawi wa wananchi kwa ujumla na ni moja ya sababu inyowezesha maendeleo ya Taifa kwenda kwa kasi. Amesema hayo leo Alhamisi (Julai 03, 2025) wakati wa uzinduzi wa Benki ya Maendeleo PLC, kuwa Benki kamili ya kibiashara, …
Soma zaidi »Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini kwa kuwa anawaongoza wananchi wenye dini ambao dini zao wanaziheshimu na hivyo asingependa kuona haki zao zinanyimwa kwa namna yoyote ile
Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT). “Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa …
Soma zaidi »Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mjumbe wa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani Balozi Susanne Wusan-Rainer kando ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika Jijini Sevilla nchini Hispania. Tarehe 01 Julai 2025
VIJANA WALIOACHANA NA DAWA ZA KULEVYA WAIPONGEZA DCEA
Baadhi ya vijana waliowahi kuwa watumiaji wa dawa za kulevya wameipongeza Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa juhudi zake thabiti katika kupambana na biashara na matumizi ya dawa hizo. Vijana hao Pendo Athuman, Tonny Michael na Gabriel Nyangasi wamesema kuwa hatua zilizochukuliwa na mamlaka hiyo, …
Soma zaidi »USHIRIKIANO BAINA YA DCEA NA TAASISI NYINGINE KUKABILIANA NA DAWA ZA KULEVYA, SIRI YA MAFANIKIO
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeendelea kutumia mkakati madhubuti wa nguzo kuu nne katika vita dhidi ya dawa za kulevya nchini. Nguzo hizo ni: (i) Kupunguza upatikanaji wa dawa za kulevya; (ii) Kupunguza uhitaji wa matumizi ya dawa hizo; (iii) Kudhibiti madhara yatokanayo na matumizi; …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+