Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja, ametembelea Maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba (DITF) yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Akiwa katika banda la Mazingira, Eng. Luhemeja amezindua rasmi Siku ya Mazingira ndani ya maonyesho hayo na kutoa wito …
Soma zaidi »ELIMU NA MSAADA WA KISHERIA IKITOLEWA MUBASHARA NDANI YA VIUNGA VYA SABASABA
Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba (2025), Wizara ya Katiba na Sheria inaendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia kampeni ya elimu na msaada wa kisheria bila malipo. ๐ฏ Katika banda hili maalum, wananchi wanapata: โ Elimu juu ya haki zao kikatiba na kisheria โ Ushauri wa …
Soma zaidi »ELIMU NA MSAADA WA KISHERIA IKITOLEWA MUBASHARA NDANI YA VIUNGA VYA SABASABAELIMU NA MSAADA WA KISHERIA IKITOLEWA MUBASHARA NDANI YA VIUNGA VYA SABASABA.
ELIMU NA MSAADA WA KISHERIA IKITOLEWA MUBASHARA NDANI YA VIUNGA VYA SABASABA
Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba (2025), Wizara ya Katiba na Sheria inaendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia kampeni ya elimu na msaada wa kisheria bila malipo. ๐ฏ Katika banda hili maalum, wananchi wanapata: โ Elimu juu ya haki zao kikatiba na kisheria โ Ushauri wa …
Soma zaidi »MAONESHO YA SABASABA: BANDA KATIBA NA SHERIA LINAENDELEA KUTOA HUDUMA.
Katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba, wananchi wanaendelea kupata elimu na msaada wa kisheria BURE kutoka kwa wataalamu mbalimbali wa sheria. Hii ni sehemu ya kampeni ya serikali inayolenga kuhakikisha kila Mtanzania anafahamu haki zake na kupata msaada wa kisheria pale inapohitajika. ๐ฏ Huduma zinazotolewa: โ …
Soma zaidi »๐ฟ SIKU YA MAZINGIRA NDANI YA MAONESHO YA SABASABA 2025 ๐ฟ
Tazama tukio maalum la kuadhimisha Siku ya Mazingira ndani ya maonesho ya 48 ya Sabasaba, likiwa limebeba kaulimbiu ya kuhamasisha utunzaji wa mazingira kwa vitendo. Katika video hii utashuhudia: โ Ushiriki wa taasisi mbalimbali za mazingira โ Utoaji wa elimu kwa wananchi juu ya mabadiliko ya tabianchi, usafi wa mazingira …
Soma zaidi »KONGAMANO LA KITAIFA LA KUJENGEWA UELEWA JUU YA ATHARI ZA SAUTI ZILIZOZIDI KATIKA NYUMBA ZA IBADA
Ni kongamano lililoandaliwa na Jumuiya ya Maridhiano ya Amani Tanzania kwa Kushirikiana na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).
Soma zaidi »LIVE: MAONESHO YA SABASABA, SIKU YA MAZINGIRA: 6 JULAI 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la ย Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo tarehe 06 Julai 2025
Rais Dkt. Samia yupo katika Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa Ziara ya kikazi ya siku moja ambapo pia amealikwa kama Mgeni Rasmi na Rais wa nchi hiyo Mhe. Azali Assoumani kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Malouzini Omnisport mjini …
Soma zaidi »LIVE : MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI UFUNGUZI WA KANISA LA ARISE & SHINE KAWE DAR ES SALAAM.
Karibu kutazama mubashara (LIVE) hafla ya kihistoria ya Ufunguzi wa Kanisa la Arise & Shine katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe โ Dar es Salaam, ikihudhuriwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika tukio hili maalum, Mhe. Rais anashiriki kwa heshima kuu kwenye …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+