TAMISEMI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa wakati akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma kufungua Mkutano wa Mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri leo tarehe 12 Julai 2025

Soma zaidi »

SERIKALI YATOA AJIRA ZA WALIMU 6,949

Na Adili Mhina. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu ametangaza nafasi za ajira za walimu 6,949 wa Shule za Msingi na Sekondari zinazolenga kujaza nafasi wazi za watumishi waliokoma utumishi wao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo, kuacha kazi, kufukuzwa …

Soma zaidi »