Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, amezitaka Shule kuacha kutumia ugonjwa wa Covid-19 kama kitega uchumi kwa kuagiza fedha za ziada kutoka kwa wazazi; na kuwa Serikali itachukua hatua kwa shule zinazofanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuzifutia usajili. Waziri Ndalichako ametoa agizo hilo jijini Dodoma alipozungumza na …
Soma zaidi »NIDHAMU YA MATUMIZI YA FEDHA YAONGEZEKA KWENYE HALMASHAURI NCHINI
Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota amesema uwepo wa nidhamu ya matumizi ya fedha kwenye Mamlaka za serikali za mitaa umechangia asilimia 95 ya Halmashauri kupata hati inayoridhisha kwenye ukaguzi. Chikota ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC), alitoa kauli hiyo jana …
Soma zaidi »MKANDARASI WA UJENZI WA STAND MPYA YA MABASI YA MBEZI LUIS ATAKIWA KUKABIDHI MRADI KWA MUDA ULIOPANGWA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuelekeza Mkandarasi wa Ujenzi wa Stand mpya ya mabasi ya Mikoani na nje ya nchi ya Mbezi Louis ambayo ujenzi wake kwa sasa umefikia 70%, kuhakikisha Ujenzi huo unakamilika na kukabidhiwa kwa wakati.RC Makonda amesema ujenzi wa Stand hiyo unagharimu …
Soma zaidi »SERIKALI YAWAFUTA MACHOZI WAKAZI WA KATA YA SUNYA
NA SAKINA ABDULMASOUD,KITETO. “Siku moja nilimshuhudia mama mmoja alikuwa mjamzito,alianza kuumwa tukataka kumpeleka hospitali,tulihangaika usafiri kwa watu mpaka tunakuja kuupata yule mama alishahangaika sana kwa uchungu,lakini tunamshukuru Mungu tulimfikisha na alijifungua salama,”ni Sefae Zibani mkazi wa Kata ya Sunya mkoani Manyara. Mkazi huyo na wenzake wanarudisha nyuma kumbukumbu wakati wakitembea …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+