Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Dkt. Wilson Charles Mahela ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kwa lengo la kupitia andiko la Lishe kwa ajili ya mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika. #Matokeochanya+
MatokeoChanya
February 6, 2024
Matokeo ChanyA+, TAMISEMI, Tanzania, Tanzania MpyA+
301 Imeonekana