Na. Edward Kondela Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ameliagiza jeshi la polisi nchini kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo, kuwasaka na kuwamakata mara moja watuhumiwa 67 wa utoroshaji wa mifugo na mazao yake. Waziri Ndaki amebainisha hayo leo (26.01.2021) mjini Dodoma, katika ofisi za Wizara ya Mifugo …
Soma zaidi »MAUAJI YA MKULIMA YAWE MWISHO – WAZIRI NDAKI
Na. Edward Kondela Serikali imewataka wakulima na wafugaji wanaofanya shughuli zao kwenye maeneo wasiyoruhusiwa, kuondoka mara moja na kuwataka wafuate sheria, taratibu na kanuni za nchi ambapo wakulima na wafugaji wanatakiwa kuwa kwenye maeneo waliyotengewa kisheria bila kuingiliana. Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amebainisha hayo (24.01.2021) akiwa …
Soma zaidi »SERIKALI KUWEKA NGUVU UZALISHAJI WA MAZAO YA MAFUTA NCHINI
Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema serikali inaweka nguvu kubwa katika uzalishaji wa mazao ya mafuta ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa mafuta inayotokea nchini na kupunguza kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi. Akizungumza leo mara baada ya kutembelea kiwanda cha mafuta ya alizeti cha PYXUS kilichopo Kizota …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU ATOA AGIZO UENDELEZAJI ZAO LA MKONGE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge nchini pamoja na wakulima wakubwa wa mkonge watenge ekari 10 kwa akili ya kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche ya mkonge ili kupunguza tatizo la upungufu wa mbegu. Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Kilimo itenge fedha katika bajeti yake kwa ajili ya …
Soma zaidi »WALIOKAIDI MKATABA WA NARCO KIKAANGONI NDANI YA SIKU KUMI
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ametoa siku kumi kwa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) kubaini na kuwanyang’anya maeneo, wawekezaji waliopatiwa vitalu katika ranchi za taifa ambao wamebadili matumizi ya ardhi kinyume na makubaliano ya mikataba yao. Waziri Ndaki amebainisha hayo jana (12.01.2021) wakati alipotembelea Ranchi ya …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI BASHE AAGIZA TAKUKURU KUANZA UCHUNGUZI UPOTEVU WA MILIONI 150 ZA AMCOS YA CHABUMAA
Naibu Waziri Kilimo Hussein Bashe ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Chamwino kuanza mara moja uchunguzi dhidi ya Viongozi wa Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Zabibu (CHABUMA AMCOS) katika wilaya hiyo; Waliochukua fedha kiasi cha shilingi milioni 150 ambazo zimetumika kinyume cha utaratibu. Naibu …
Soma zaidi »TIJA KWENYE KILIMO NDIO KIPAUMBELE – PROF. MKENDA
Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazo nchini kwa kutumia eneo dogo kuzalisha mazo mengi zaidi na kukuza uchumi wa kaya na taifa. Waziri wa Kilimo amesema hayo (21.12.2020) wakati akikakabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Kilimo Japhet …
Soma zaidi »TARI NALIENDELEA KUONGEZA UZALISHAJI WA ZAO LA KOROSHO MKOANI RUKWA
Bodi ya Korosho Tanzania kwa ushirikiano na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kituo cha Naliendele Mkoani Mtwara Imemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo kilo 400 za mbegu za korosho ili aweze kuzigawa kwa Wakuu wa Wilaya na hatimae kuwafikia wakulima kupitia Maafisa kilimo wa halmashauri …
Soma zaidi »KIGOMA KUWA KINARA WA UZALISHAJI MICHIKICHI NCHINI – KATIBU MKUU KUSAYA
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe.Thobias Andengenye amesema wamejipanga kuhakikisha agizo la serikali la kuongeza uzalishaji michikichi nchini ambapo wakulima wameanza kupanda aina mpya ya miche ya Tenera yenye kutoa mafuta mengi. Mhe. Andengenye amesema hayo (17.12.2020) wakati alipofanya mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya aliyepo …
Soma zaidi »“TUTAENDELEA KUTAFUTA MASOKO YA MAZAO YA BUSTANI ILI KUONGEZA AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI” – KUSAYA
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya amemuahidi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa pamoja na Wadau wa Sekta ya Kilimo cha mazao ya bustani kuwa Wizara ya Kilimo itaendelea kushirikiana na Wizara nyingine kama Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi, Wizara ya Mambo ya Nje …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+