Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula-NFRA wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri Mhandisi Eustance kukagua hatua zilizofikiwa za ujenzi wa maghala na vihenge vya kisasa katika eneo la Maisaka Mjini Babati katika Mkoa wa Manyara, tarehe 25 Novemba 2020. Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa …
Soma zaidi »KATIBU MKUU KUSAYA AFUNGUA MAONESHO YA SIKU TATU YA KILIMO MSETO MKOANI MARA
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adam Malima (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya (kulia) jana mara baada ya mazungumzo yao Ofisini kwa Mkuu huyo wa Mkoa mjini Musoma. Serikali imezitaka taasisi na mashirika binafsi yanayopokea fedha toka kwa wahisani na wafadhili hususan kutoka nje …
Soma zaidi »KATIBU MKUU KUSAYA AKARIBISHA WAWEKEZAJI KUZALISHA MBEGU ZA MAZAO YA KILIMO
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya akitazama mti bora wa kahawa katika shamba la kituo cha utafiti TACRI Mbimba wilaya ya Mbozi jana. Kushoto ni Mtafiti Mkufunzi Dismas Pangaras na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Uendelezaji Mazao Wizara ya Kilimo Beatus Malema. Wizara ya Kilimo imetoa wito kwa wawekezaji …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA PROGRAMU YA UGAWAJI WA MBOLEA KWA WAKULIMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Kilimo ihakikishe mbolea iliyotolewa bure kwa wakulima wadogo inawafikia na kuwanufaisha wahusika kama lengo la kampuni ya YARA lilivyokusudia. Akizungumza wakati alipozindua rasmi mpango wa ugawaji wa mbolea bure kwa wakulima katika Ofisi za Kampuni ya YARA Tanzania jijini Dar es salaam (Jumapili, …
Soma zaidi »VIHENGE VYA NFRA KUWAHAKIKISHIA SOKO LA MAHINDI WAKULIMA MKOANI RUKWA
Ujenzi wa wa Vihenge vya kisasa Naibu Waziri wa Kilimo Mh. Omary Mgumba amewahakikishai wakulima wa zao la mahindi mkoani Rukwa kuwa mradi wa ujenzi wa Vihenge vya kisasa vya kuhifadhia mazao hayo utakapokamilika utatatua tatizo la soko kwa wakulima ambao kwa msimu wa 2019/2020 wamekuwa wakipata tabu kutokana na …
Soma zaidi »KILIMO CHA UMWAGILIAJI KIMEONGEZA UZALISHAJI WA MPUNGA TOKA WASTANI WA TANI 4.0 MWAKA 2014 HADI TANI 7.2 KWA MWAKA 2019
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya amewaeleza wahandisi wa umwagiliaji mikoa kuwa wana deni la kurejesha imani kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutekeleza miradi yenye ubora na tija ya uzalishaji mazao ya wakulima kwa kuwa fedha nyingi za umma zinatumika. Katibu Mkuu amesema hayo mkoani Morogoro …
Soma zaidi »WAZIRI HASUNGA AZINDUA ZOEZI LA UGAWAJI WA MBOLEA KWA WAKULIMA
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amezindua zoezi muhimu la ugawaji wa mbolea bure kwa wakulima wa Mkoa wa Songwe ili waweze kuitumia katika msimu wa kilimo 2020/2021. Amesema kuwa mkoa wa Songwe umekuwa ukizalisha chakula kwa kiasi kikubwa huku ukishika nafasi ya tatu kitaifa katika uzalishaji wa mazao ya Nafaka …
Soma zaidi »SERIKALI YA JIMBO LA HUNAN NCHINI CHINA IMENZISHA MTAA MAALUM WA KUUZA KAHAWA KUTOKA BARANI AFRIKA
Serikali ya Jimbo la Hunan nchini China imenzisha Mtaa Maalum wa kuuza kahawa kutoka Barani Afrika katika soko Kuu la Gaoquiao jijini Changsha. Hafla ya uzinduzi wa mtaa huo imefanyika na kuhudhuriwa na wawakilishi wa mataifa mawili yanayozalisha kahawa Tanzania na Ethiopia Katika hafla hiyo ya uzinduzi wa Mtaa wa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUFUNGUA MAONYESHO YA NANE MKOANI SIMIYU
Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo, Bwana Gerald Kusaya mapema tarehe 29 Julai, 2020 ametembelea Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Simiyu na baadae alielekea katika Viwanja vya Nyakabindi. Katibu Mkuu Kusaya aliekea katika Viwanja vya Nyakabindi ili kujionea na kukagua maandalizi ya eneo la maonyesho ikiwa ni pamoja na kujionea …
Soma zaidi »KATIBU MKUU KILIMO KUSAYA AGAWA PIKIPIKI 18 KWA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NCHINI
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya amesema kuwa serikali imeendelea kuboresha sekta ya kilimo kwa kutoa Dola Milioni 35.3 kwa ajili ya kuwezesha mapambano dhidi ya Sumukuvu katika mazao ya wakulima nchini. Hayo yamebainishwa Jijini Dodoma wakati wa kutoa pikipiki kwa wakurugenzi wa halmashauri 18 wa Tanzania bara kwa …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+