Urani Mto Mkuju: Mlango Mpya wa Maendeleo na Uchumi wa Juu kwa Tanzania Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani katika eneo la Mto Mkuju, mkoani Ruvuma, umetajwa kuwa hatua muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya kiuchumi na kiteknolojia nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Bwana Menani Lameck Ezekia, mtaalamu …
Soma zaidi »HUU NDIO WAKATI WETU MUAFAKA WA KUFANYA KAZI ILI KULIJENGA TAIFA LETU TANZANIA
KOROSHO YA TANZANIA, DHAHABU NYEUPE INAYOITANGAZA NCHI KIMATAIFA.
๐ฅ Usikose kutazama mpaka mwisho ili kufahamu jinsi “dhahabu hii nyeupe” inavyobadili maisha ya Watanzania na kuiweka Tanzania katika ramani ya biashara ya kimataifa. ๐ Subscribe kwa taarifa zaidi kuhusu kilimo, biashara na maendeleo ya Tanzania. #KoroshoTanzania #KilimoBiashara #MadeInTanzania #UchumiWaKijani #ChanyATV
Soma zaidi »HII NI NCHI YANGU TANZANIA
Hii ni Nchi Yangu Tanzania” โ Sehemu ambapo uzalendo, uzuri wa asili, utamaduni wa kipekee, na mafanikio ya taifa hukutana. Karibu utazame video hii inayobeba taswira halisi ya Tanzania โ ardhi yenye amani, watu wenye upendo, vivutio vya kuvutia, historia ya kujivunia, na jitihada kubwa za maendeleo chini ya uongozi …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2025.
MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA KITUO CHA BIASHARA NA USAFIRISHAJI AFRIKA MASHARIKI (EACLC) UBUNGO
Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025.
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA KITUO CHA BIASHARA NA USAFIRISHAJI AFRIKA MASHARIKI (EACLC) UBUNGO
Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025.
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KWALA MKOA PWANI
MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KWALA MKOA PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza na Wananchi wa Kwala Pwani, leo tarehe 31 Julai, 2025. #SGRTanzania #RaisSamia #MizigoKwaSGR #KwalaTerminal #MageuziYaUsafiri #TanzaniaInajengwa
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KWA SGR KWALA PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameandika historia nyingine katika sekta ya usafirishaji nchini kwa kuzindua rasmi usafirishaji wa mizigo kupitia Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Kwala, mkoani Pwani. Uzinduzi huu unaashiria mwanzo mpya wa mageuzi ya kimkakati katika usafiri wa mizigo nchini na …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+