RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

TUFANYE KAZI MOJA YA KUIJENGA NCHI YETU – RAIS WA ZANZIBAR MHE DK. HUSSEIN ALI MWINYI

“Tufanye Kazi Moja ya Kuijenga Nchi Yetu” โ€“ Kauli ya Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi inatukumbusha wajibu wa kila Mtanzania kushirikiana kwa mshikamano, mshikikano na uzalendo katika kuleta maendeleo ya taifa letu. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Katika hotuba hii yenye msisitizo, Rais Mwinyi anahamasisha mshikamanio kati ya wananchi na viongozi, …

Soma zaidi »

MAENDELEO YANAKUJA KWA KUFANYA KAZI – DKT. BITEKO

โ€œTangu kuanza kwa mradi wa EACOP mwaka 2022 hadi sasa, jumla ya Watanzania 9,194 wamepata nafasi za kufanya kazi ndani ya mradi na hivyo kuwa fursa kwao ya kujipatia kipato, mwaka 2024 kampuni ilitoa mafunzo maalumu kwa Vijana 170 na kuwapatia kazi kwenye mradi, Vijana wengine 110 wapo katika masomo …

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ATUNUKIWA NISHANI YA HESHIMA NA CISM ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ…

Katika hafla ya kipekee, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Nishani ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM) kama kutambua mchango wake mkubwa katika kuimarisha michezo ya kijeshi, diplomasia ya kimataifa na mshikamano wa amani kupitia michezo. Tazama tukio hili la kihistoria …

Soma zaidi »