JE, HALI YA USAFI WA MAZINGIRA NA UDHIBITI WA TAKA NCHINI TANZANIA INARIDHISHA?
Je, Tanzania inafanya vya kutosha kuhakikisha usafi wa mazingira na kudhibiti taka mijini na vijijini? Katika video hii, tunachambua kwa kina hali ya sasa ya usafi wa mazingira nchini β kuanzia ukusanyaji na usafirishaji wa taka, hadi juhudi za serikali, halmashauri na wananchi katika kuhakikisha mazingira safi na salama kwa …
Soma zaidi »SWALA LA USIMAMIZI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA , NI KIPAUMBELE KATIKA MAENDELEO YA NCHI YETU.
“Kila mmoja wetu ana jukumu la kutunza mazingira β iwe ni kwa kupanda miti, kutupa taka sehemu sahihi, au kushiriki kampeni za kijani. Mazingira bora ni msingi wa maisha bora!” Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania π Subscribe kwa maudhui mengine yanayolenga …
Soma zaidi »TUNAHITAJI SANA ELIMU KWA JAMII ZETU KATIKA SWALA LA MAZINGIRAπΏ
Mabadiliko ya tabianchi, uharibifu wa vyanzo vya maji, ukataji wa miti, na ongezeko la uchafuzi wa mazingira ni changamoto zinazotishia ustawi wa kizazi cha sasa na kijacho. Umuhimu wa kutunza mazingira katika maisha ya kila siku Namna elimu ya mazingira inaweza kusaidia kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi Jinsi jamii …
Soma zaidi »HILI NI JIJI LA MFANO KATIKA UTUNZAJI WA MAZINGIRA – Mhe. Rosemary S. Senyamule
π¬ Toa maoni yako: Unadhani miji mingine inajifunza nini kutoka Dodoma? π Like | π Share | π Subscribe kwa taarifa zaidi za maendeleo nchini Tanzania! #Dodoma #Mazingira #SafiNaKijani #RosemarySenyamule #TanzaniaYaKijani #UsafiNaUtunzajiMazigira #MaendeleoEndelevu
Soma zaidi »UN Resident Coordinator Susan Ngongi Namondo’s Powerful Speech | World Environment Day 2025
In this inspiring keynote speech delivered in Dodoma during the National Commemoration of World Environment Day 2025, Ms. Susan Ngongi Namondo, the UN Resident Coordinator in Tanzania, addresses critical environmental challenges and solutions. Her powerful message highlights: β The urgent global call to end plastic pollution β Tanzania’s leadership in …
Soma zaidi »KUPENDEZESHA MIJI SIO KWA TAA PEKEE, MITI NAYO NI MUHIMU β PROF. PALAMAGAMBA KABUDI
Katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika tarehe 3 Juni 2025 jijini Dodoma, Profesa Palamagamba Kabudi alitoa ujumbe mzito kuhusu umuhimu wa miti katika uzuri, ustawi na afya ya miji yetu. Katika hotuba yake, alisisitiza kuwa maendeleo ya miji hayawezi kupimwa kwa kuwepo kwa taa tu, bali yanahitaji uwepo …
Soma zaidi »MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
Mazingira yetu na Tanzania Ijayo Tuwajibike Sasa, Dhibiti Matumizi ya Plastiki
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+