Matokeo ChanyA+

SINGIDA YAMKARIBISHA KWA SHANGWE RAIS SAMIA KATIKA KILELE CHA MEI MOSI 2025

Wameeleza furaha yao juu ya ujio wa Mhe Rais Samia kwenye maadhimisho hayo ambayo kitaifa yanafanyika mkoani Singida. Kauli mbiu ya mwaka huu ni: “Uchaguzi Mkuu wa 2025 utuletee viongozi wanaojali na kuthamini haki na maslahi ya wafanyakazi, Sote tushiriki.” #MeiMosi2025 #SingidaNaSamia #SamiaTheGameChanger

Soma zaidi »