Matokeo ChanyA+

BAADA YA TAASISI YA DCEA KUANZISHWA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA WAMEPUNGUA SANA, SIO KAMA KABLA

Wiki ya maadhimisho ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya imeambatana na matukio mbalimbali muhimu. Mnamo Jumatatu, 23 Juni 2025, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) itafanya ziara kwenye vyombo vya habari kuhamasisha jamii, huku Mhe. William Lukuvi akitoa taarifa rasmi Bungeni kuhusu …

Soma zaidi »

TANZANIA KINARA WIKI YA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA VIJANA WAPONGEZA USHIRIKI MAANDALIZI

Mara baada ya kufungwa kwa mashindano mbalimbali yaliyoandaliwa katika kuadhimisha Wiki ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Duniani, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini Tanzania, Aretas Lyimo, amesema kuwa Tanzania imeonesha dhamira ya kweli kwa vitendo katika mapambano hayo kwa kushirikisha jamii, …

Soma zaidi »

MICHEZO YAVUTIA VIJANA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA

Baadhi ya wananchi walioshiriki kwenye michuano ya mpira wa miguu iliyokuwa ikiendelea jijini Dodoma, wameeleza kufurahishwa na hatua ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kutumia michezo kama jukwaa la kijamii kuhamasisha mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya, hasa kwa vijana. Michuano hiyo, iliyojumuisha …

Soma zaidi »

RAIS DKT. SAMIA ANATAMBUA MCHANGO WA BUNGE KWENYE KUHAMAISHA MICHEZO-MAJALIWA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Majaliwa amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika tamasha la Grand Bunge Bonanza lililofanyika katika viwanja vya shule ya Sekondari ya John Merlin jijini Dodoma.

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI TAMASHA LA UTAMADUNI LA BULABO LA KANDA YA ZIWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na maelfu ya wananchi katika kusherehekea Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya Ziwa, lililofanyika leo tarehe 21 Juni, 2025. Tamasha hili limekuwa jukwaa muhimu la kuenzi urithi wa kitamaduni, sanaa, ngoma, mavazi ya asili na …

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI TAMASHA LA UTAMADUNI LA BULABO LA KANDA YA ZIWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na maelfu ya wananchi katika kusherehekea Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya Ziwa, lililofanyika leo tarehe 21 Juni, 2025. Tamasha hili limekuwa jukwaa muhimu la kuenzi urithi wa kitamaduni, sanaa, ngoma, mavazi ya asili na …

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SUNGUSUNGU CCM KIRUMBA MWANZA

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikutana na kuzungumza na Sungusungu Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, leo tarehe 20 Juni, 2025 🔔 Usisahau kusubscribe, kupenda (like), na kushirikisha video hii kwa wengine. Tanzania ya Viwanda na Maendeleo Inawezekana! #RaisSamia #MradiWaMajiButimba #MaendeleoKwaWote #SamiaSuluhu #MajiNiUhai #TanzaniaYaMapinduzi

Soma zaidi »

MHE RAIS. DKT, SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MRADI MKUBWA WA MAJI BUTIMBA

tarehe 20 Juni, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Mradi wa Maji wa Butimba jijini Mwanza na kuzungumza moja kwa moja na wananchi waliokusanyika kwa shangwe na matumaini makubwa. Mradi huu wa kimkakati unalenga kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama …

Soma zaidi »