Matokeo ChanyA+

HII NI NCHI YANGU TANZANIA

Hii ni Nchi Yangu Tanzania” – Sehemu ambapo uzalendo, uzuri wa asili, utamaduni wa kipekee, na mafanikio ya taifa hukutana. Karibu utazame video hii inayobeba taswira halisi ya Tanzania – ardhi yenye amani, watu wenye upendo, vivutio vya kuvutia, historia ya kujivunia, na jitihada kubwa za maendeleo chini ya uongozi …

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA KITUO CHA BIASHARA NA USAFIRISHAJI AFRIKA MASHARIKI (EACLC) UBUNGO

Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025.

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA KITUO CHA BIASHARA NA USAFIRISHAJI AFRIKA MASHARIKI (EACLC) UBUNGO

Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025.

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KWA SGR KWALA PWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameandika historia nyingine katika sekta ya usafirishaji nchini kwa kuzindua rasmi usafirishaji wa mizigo kupitia Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Kwala, mkoani Pwani. Uzinduzi huu unaashiria mwanzo mpya wa mageuzi ya kimkakati katika usafiri wa mizigo nchini na …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa bandari Kavu ya Kwalakesho tarehe 31 Julai 2025

Matukio katika picha: Maandalizi ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na uanzishaji wa huduma ya usafiri ya treni ya mizigo ya reli ya kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam na Dodoma, sambamba na upokeaji wa mabehewa mapya na yaliyokarabatiwa ya reli ya zamani(MGR)Kwala, mkoani Pwani.

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea

Tayari kwa safari ya kueleke kwenye uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, tarehe 30 Julai, 2025.

Soma zaidi »