Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Akimuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Ikulu Chamwino-Dodoma, leo tarehe 15 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Nyumba za Makazi ya Majaji Mkoani Dodoma
Mhe. Dkt. Philip Mpango katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi zawadi Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma iliyotolewa na Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) wakati wa Maadhimisho ya Miaka 25 ya Chama hicho yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa …
Soma zaidi »MIRADI YA UJENZI WA MAHAKAMA YAENDELEA KWA KASI JIJINI DODOMA
Na Stanslaus Makendi, Mahakama Kuu Dodoma Mahakama ya Tanzania inatekeleza miradi mbalimbali ya ukarabati na ujenzi wa Mahakama nchini kwa lengo la kuboresha miundombinu yake ili kuwa na mazingira wezeshi ya utaoji wa huduma ya utoaji haki kwa ujumla. Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa Mikoa kadhaa nchini ambapo miradi …
Soma zaidi »UJENZI WA JENGO LA KITUO JUMUISHI CHA UTOAJI HAKI
Jengo linalojengwa na Mahakama ya Tanzania la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki (IJC) Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Jengo hili la ghorofa 3 litakuwa na Mahakama ya Mwanzo, Wilaya na Mkoa, ofisi za baadhi ya wadau wa Mahakama, Polisi, Ustawi wa Jamii, Mawakili na Waendesha Mashitaka. Muonekano wa jengo linalojengwa …
Soma zaidi »