Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu kwaniaba ya Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo Machi 17, 2025 amesema ndani ya miezi minne ya Rais Samia Suluhu Hassan mambo mengo yaliyokuwa yameshindikana yamefanyika ikiwemo maandalizi na uzinduzi wa sera ya Ardhi ya …
Soma zaidi »BILIONI 3.4 ZATOLEWA KAMA FIDIA ZA ARDHI DODOMA, RAIS SAMIA APONGEZWA KWA KUIONGEZEA ARDHI THAMANI.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema ndani ya miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jumla ya shilingi Bilioni 3.4 zimetolewa na serikali kuu kwaajili ya fidia kwa wananchi mbalimbali waliopisha miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kwenye ardhi walizokuwa wanazimiliki. Mhe. Senyamule ametoa …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Taifa Bw. Murshid Hashim Ngeze mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa 39 wa ALAT uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma
MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA MKUTANO MKUU WA 39 WA ALAT- DODOMA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, leo tarehe 11 Machi, 2025. Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji na Mwenyekiti wa kampuni ya SC Johnson Family Dkt. Fisk Johnson kutoka Marekani pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma
NEMC YANOA KIKUNDI CHA WANAWAKE NA SAMIA MKOANI DODOMA – ELIMU YA MAZINGIRA
NEMC YAWAFUMBUA MACHO WANAWAKE NA SAMIA MKOA WA DODOMA JUU YA FURSA ZILIZOPO KWENYE MAZINGIRA
MWENYEKITI WANAWAKE NA SAMIA DODOMA AIPONGEZA NEMC KWA KUWAPA ELIMU YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Sekretariet ya Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Masuala ya Ushirikiano katika Usimamizi na Menejimenti ya Taka za Plastiki Bi. Clemence Schmid, Chamwino Dodoma
Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais amesema serikali imedhamiria kushirikiana na wadau, sekta binafsi pamoja na jumuiya ya kimataifa katika kupambana na tatizo la taka za plastiki nchini. Amesema uzoefu unaonesha kwamba ushirikiano ni njia bora zaidi itakayowezesha kukabiliana na tatizo hilo kwani yapo maeneo ambayo taka za plastiki hutupwa …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasalimu maafisa ugani pamoja na wanaushirika kabla ya kuanza kwa kikao maalum na maafisa hao kilichofanyika Ikulu Chamwino, jijini Dodoma
Katika kikao hicho, Rais Samia alisisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, maafisa ugani, na wanaushirika katika kuboresha sekta ya kilimo na kuinua uchumi wa taifa kupitia maendeleo ya kilimo nchini. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+