JIJI LA DODOMA

DKT. ANNA MAKAKALA ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA UHAMIAJI MAKAO MAKUU DODOMA

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini CGI Dkt. Anna Makakala ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la Uhamiaji Makao Makuu linaloendelea kujengwa Jijini Dodoma chini ya kampuni ya ujenzi ya SUMAJKT.CGI Dkt. Makakala ameyasema hayo mapema leo hii alipokutana na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajab Mabele …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Hussein Othman Katanga akila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu ya Chamwino.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ummy Ally Mwalimu kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI katika hafla iliyofanyika …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHUHUDIA MAKAMU WA RAIS AKIAPISHWA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA

Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akitia …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AONGOZA VIONGOZI WA NDANI NA NJE YA NCHI KUMUAGA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA HAYATI DKT. MAGUFULI, JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa na Viongozi wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa mbalimbali Duniani kwenye Mazishi ya Kitaifa ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri JIjini …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AFUNGUA MAJENGO YA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA PAMOJA NA MIRADI MINGINE YA JESHI HILO MKOANI DODOMA

Taaswira ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza yaliyopo Msalato mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Maafisa na Askari Magereza mara baada ya kufungua Majengo ya Makao Makuu ya Jeshi hilo Msalato mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Soma zaidi »

DKT GWAJIMA AWASILISHA MAJUKUMU, MUUNDO WA WIZARA YA AFYA KWA KAMATI YA BUNGE

Na Mwandishi wetu, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, kwa mara ya kwanza imekutana na wataalam wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na kupokea taarifa za Muundo na majukumu ya Idara na vitengo ndani ya Wizara hiyo. Taarifa hiyo …

Soma zaidi »