JIJI LA DODOMA

USIPOTEZE HAKI YAKO, WAHI KAHAKIKI TAARIFA ZAKO, RAIS DKT. SAMIA

“Ndugu zangu nami nimeona nijiunge nanyi hapa kituoni kwetu. Kama mnavyojua mimi ni mkazi wa Chamwino na nimepiga kura nyingi huko nyuma. Lakini kwa mwaka huu ni lazima nipige hapa Chamwino. Kwa hiyo ndiyo maana nimekuja kurekebisha taarifa zangu. Si mpiga kura mpya lakini nimekuja kurekebisha taarifa zangu. Huko nyuma …

Soma zaidi »

YALIYOONEKANA KUWA MAGUMU YAMEWEZEKANA KWA RAIS SAMIA- NAIBU SPIKA MUSSA AZAN ZUNGU

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu kwaniaba ya Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo Machi 17, 2025 amesema ndani ya miezi minne ya Rais Samia Suluhu Hassan mambo mengo yaliyokuwa yameshindikana yamefanyika ikiwemo maandalizi na uzinduzi wa sera ya Ardhi ya …

Soma zaidi »

BILIONI 3.4 ZATOLEWA KAMA FIDIA ZA ARDHI DODOMA, RAIS SAMIA APONGEZWA KWA KUIONGEZEA ARDHI THAMANI.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema ndani ya miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jumla ya shilingi Bilioni 3.4 zimetolewa na serikali kuu kwaajili ya fidia kwa wananchi mbalimbali waliopisha miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kwenye ardhi walizokuwa wanazimiliki. Mhe. Senyamule ametoa …

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA MKUTANO MKUU WA 39 WA ALAT- DODOMA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, leo tarehe 11 Machi, 2025. Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji na Mwenyekiti wa kampuni ya SC Johnson Family Dkt. Fisk Johnson kutoka Marekani pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma

Soma zaidi »