Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema tatizo la saratani kwa Watanzania linaweza kupungua ama kuondokana nalo endapo kutakuwa na tabia ya kupima afya zetu mara kwa mara. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo kwenye uzinduzi wa jengo na mashine mpya za tiba …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AZINDUA TABASAMU AKAUNTI MAALUM KWA AJILI YA WANAWAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Tano imefanya jitihada kubwa kuweka mazingira mazuri ya kisera na kimifumo ili kuchochea ukuaji wa sekta ya fedha hapa nchini. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Akaunti …
Soma zaidi »LIVE: HAFLA YA UAPISHO WA BALOZI VALENTINO MLOWOLA NA KUPOKEA RIPOTI YA TAKUKURU
Machi 28, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John pombe Magufuli amuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Cuba Pia Rais Dkt. Magufuli anapokea Ripoti ya Utendaji kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Inayowasilishwa na Kamishna Mkuu wa Taasisi …
Soma zaidi »MCHEZAJI WA ZAMANI TIMU YA TAIFA PETER TINO AKABIDHIWA Tsh.MILLIONI 5 ALIZOPEWA NA RAIS MAGUFULI
Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Peter Tino amekabidhiwa shilingi Milioni 5 alizopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutambua mchango wake kwa Timu ya Taifa ya mwaka 1980 ambayo ilifuzu kuingia robo fainali ya Michuano ya …
Soma zaidi »LIVE IKULU: RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WACHEZAJI WA TAIFA STARS NA BONDIA MWAKINYO
Oniline Radio, Bofya link hii http://myradiostream.com/mobile/MatokeochanyAtz
Soma zaidi »SERIKALI INAPENDA KUWAHAKIKISHIA KUWA CHANGAMOTO ZA WALEMAVU ZINAFANYIWA KAZI – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahimiza watu wenye ulemavu kutumia fursa zilizopo katika kujikwamua kiuchumi. Makamu wa Rais ameyasema hayo kwenye hafla ya utoaji tuzo ya I CAN kwa watu wenye ulemavu iliyoandaliwa na Taasisi ya Dkt. Reginald Mengi Foundation, iliyofanyika leo …
Soma zaidi »ENG.MFUGALE – UWANJA TUNAOJENGA DODOMA UTAKUWA NA UWEZO WA KUCHUKUA WATAZAMAJI 85,000 NA 100,005
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Machi, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Urusi ulioongozwa na Mjumbe Maalum wa Rais wa Urusi katika masuala ya Afrika ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Mhe. Mikhail Bogdanov, Ikulu Jijini …
Soma zaidi »MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019 WAFUNGULIWA KAMPALA NCHINI UGANDA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema ili kuibadili Afrika Viongozi wake lazima wawekeze kwa Vijana na Watoto. Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati akihutubia kwenye mkutano wa Africa Now Summit 2019 jijini Kampala nchini Uganda. “Viongozi lazima wahakikishe wanawekeza kwenye lishe bora …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI UGANDA TAYARI KWA KUSHIRIKI MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Uganda na kupokelewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Philemon Mateke pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uganda Dkt. Aziz P. Mlima katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Entebe. Makamu wa Rais pamoja na Naibu Waziri …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP : SHERRY PART IKULU JIJINI DSM. MACHI 08,2019
https://youtu.be/rvCu2hE3Isc Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John pombe Magufuli ashiriki hafla maalum na Mabalozi wanaowaoziwakilisha Nchi Zao hapa Nchini na Viongozi wa Mashirika Mbalimbali .
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+