LIVE:RAIS MAGUFULI AKIZINDUA KIWANDA CHA KUCHAKATA MAHINDI
RAIS MAGUFULI AZINDUA CHUO CHA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI CHA WILAYA YA NAMTUMBO MKOANI RUVUMA.
LIVE :RAIS MAGUFULI AKIHUTUBIA WANANCHI UWANJA WA MAJIMAJI SONGEA
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAZINDUA MRADI WA KUSAFIRISHA UMEME MKUBWA MW 220 KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA
RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA TUNDURU – NAMTUMBO KM 193
SERIKALI HAINA MPANGO WA KUONGEZA MIKOA MIPYA – RAIS MAGUFULI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema Serikali haina mpango wa kuongeza maeneo ya utawala ikiwemo kuanzisha mikoa mipya na badala yake imejipanga kuimarisha huduma na mahitaji ya miundombinu iliyopo ili kuwaletea maendeleo wananchi. Amezungumza hayo Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Namtumbo-Kilimasera-Matemanga-Tunduru yenye urefu wa …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA UFUNGUZI WA BARABARA YA NAMTUMBO-MATEMANGA- TUNDURU KM 193.
LIVE :CHUO CHA KITANGALI MTWARA – RAIS DKT. JOHN MAGUFULI ANAENDELEA NA ZIARA
LIVE CATCH UP: RAIS MAGUFULI KATIKA HAFLA YA KUTUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA WA JWTZ KUNDI LA 65. IKULU JIJINI DSM.
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 30 Machi, 2019 anawatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 146 wa JWTZ katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+